KUOGA PAMOJA No_01
Bismillah.
Kwenye Maisha ya Ndoa Mke na Mume Hamtakiwi Kuwa Kama Mtu na Dada yake ,,Wala Kuogopana Hususan Kwenye Maswala ya Chumbani.
#Mke Unatakiwa Kuwa Na Ulaini Wa Mwendo na Ulaini Wa Miondoko upitapo Mbele ya Mume Wako Muwapo Ndani na Tembea Mbele yake Kama Ngamia Aliyechoka Na Mwendo(مثل الجمل المتعب),,
Wala Usipite Haraka Kama Unawahi Kupeleka Chakula Cha Mgonjwa Laa.
Pale Uandaapo Maji Kwaajili ya Kuoga Kwenu Basi ,,Usiyaandae Na Dira Wala Juba,,Bali Mvalie Mumeo Kaguo Lainiii na Chepes(ارتدِ ملابس خفيفة الوزن وناعمة) Kilichoishia Juu ya Mapaja Yako Ni Rukhsa Katika Sheria ya Uislam Wetu ,,Si Vibaya Hata Kamtandio,,Ambacho ni Kadoogo ,,Hata Paja Likionekana Na Mumeo Hakuna Shakka na Ndio Bora Zaidi.
#Kama Mumeo Amekaa Sehemu. Ambayo Ndio Njia Ya Kuelekea KWenye Bafu Basi ,, Hakikisha Unapita Kwa Wiingi Mbele yake Mume Wako Huku Ukitembea Kwa Madaha Kama Ngamia Aliyechoka.
Tena,,Peleka Sabuni BAFUNI,Kisha Rudia Kitu Kingine ,,Ama Maji ya Kuoga ,,Isibebe Vyote Kwa Pamoja ,,,Utapunguza Muda Wa Kuonekana Maungo Yako yavutiayo Kwa Mume Wako.
Bali Chukua Kimoja Kimoja Ili Upite Karib yake APATE Kusuuza Macho yake na Kuutibu Moyo wake na Kuisogeza Nguvu ya Kukupenda na Kuutamani Mwil Wako Kila Wakati.
Kisha Mfuate Mume Wako ,,Huku Ukiwa na Kamtandio au Kaguo Lainiii kepesiii kenye Ushawishi Mkubwa.
Na Ukisharudi Kumchukua Mume Wako ,,Usimchukue Kama UNACHUKUA Kopo La Chooni Laaa Utaharibu Mambo Bali. MPE Maneno mataaamu ya Faraja ,,yakiwa ni Maandalizi ya Kuoga Kwake kisha,Muandalie Taulo kwa Bashasha ,,Mvalishe Mume Wako Kisha Mkiss Katika Kifua Chake Kwa Mahabbah Kama Ishara ya Kuhitaji Kujumuika Pamoja Nae Katika Bafu lenu.
#Nawe Akhy.
Kama Nyumba Yenu Haikumpa Wasaa Mkeo Wa Kukuvalia Kaguo Hakoo ka Mahabbah Tangu Hapo Mwanzo Basi Muda Huo ni Juu Yako na Mpunguze MAVAZI Mkeo Mwilini Mwake
Kisha Mvalishe Kwa Mikono yako,,Kama ni Kanga Au Kamtandio Special kwaajili ya Kuoga Kwake Ambacho Si Kigumu Wala Kikubwa.
MVALISHE na Kukifunga Kuanzia Usawa Wa Kifua Chake Na Wala Isiwe Shingoni Mwake ,,Utapoteza Kitu Muhimu Bafuni.