No reviews yet. Be the first to share your experience!
Latest Posts
Udaku tz
Apr 22, 2026, 10:01 AM
π· Photo
Mwanamke mmoja kutoka nchini Nigeria, Grace Otahi ameandamwa na familia yake baada ya kufanya Upasuaji wa kuongeza makalio (BBL).
Inasemekana Grace alipewa pesa taslimu milioni mbili za kitanzania na mchumba wake Ili afungue biashara ila yeye akaenda kuongeza makalio,
Ndugu walianza kumhisi hayuko sawa baada ya kumuona hakai na hata akikaa anaonekana mwenye kutetereka sana huku mara nyingi akiwa anashinda ndani kalala ndo ikabidi wambane na mwisho akafunguka Kila kitu.
Wana familia wa Grace wame kasirishwa na kitendo hicho huku wakisema hawako tayari kulipia pesa kurudishwa hospital na mbaya zaidi baada ya habari hizo Kusambaa mchumba wake kamuacha,
Na huu ni mwezi wa Saba hali ya Grace imeshindwa kutengamaa baada ya Upasuaji huo.
3,020
2
0
Udaku tz
Apr 22, 2026, 10:01 AM
π· Photo
Ningewambia Ila bac πππ
2,560
3
Udaku tz
Apr 22, 2026, 10:01 AM
π’ ππππππππ πππππππ
Kuna watu wengi walikuwa wanaulizia hii,
sasa mmepata
βββββββββββββββ
β π πππππππ:
βοΈ Hakuna ads π«
βοΈ Speed kubwa ya download β‘
βοΈ Kutuma mafaili makubwa π
βοΈ Features zote za premium π―
βοΈ πππππππ ππππππ π
βββββββββββββββ
π₯ ππππππππ ππππ:
π ππ’π§π€ 1:
https://telegram-mod.latestmodapks.com/β οΏ½
π ππ’π§π€ 2:
https://getmodsapk.com/7502-telegram-mod-apk/β οΏ½
2,530
3
0
Udaku tz
Apr 22, 2026, 10:01 AM
π₯ Video
Channel mpya ya connection ni hiiππ
Request na share link ili iweze kuwafikia wengi
https://t.me/+3mPvWEBGnIQ5ZGY0
3,650
5
Udaku tz
Apr 22, 2026, 10:01 AM
π₯ Video
Channel mpya ya connection ni hiiππ Request na share link ili iweze kuwafikia wengi https://t.me/+3mPvWEBGnIQ5ZGY0
4,110
5
Udaku tz
Apr 22, 2026, 10:01 AM
π₯ Video
Channel mpya ya connection ni hiiππ Request na share link ili iweze kuwafikia wengi https://t.me/+3mPvWEBGnIQ5ZGY0
Ukitoka hapa una gono tayariπ³
Hakikisha una share link ya bongo connecta kwa Kila mmojaΒ π
ππΏππΏππΏ
https://t.me/+Oe1oOoyBo1lhYTQ0
8,330
16
Udaku tz
Apr 22, 2026, 10:01 AM
π₯ Video
siwezi nikakunyima like
na wakati umejipa kesi ya uhaini
Latvia inakabiliwa na tatizo la kipekee la idadi ya watu, ambapo wanawake wanazidi wanaume kwa zaidi ya 80,000. Hali hii imetokana na uhamaji mkubwa wa wanaume, tofauti za kiafya ambazo zinafanya wanaume kuishi maisha mafupi kuliko wanawake, na mabadiliko ya idadi ya watu baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovyeti.
Kwa miaka mingi, trendi hizi zimechangia kupungua kwa idadi ya wanaume, jambo linaloathiri muhusiano, ajira, na mipango ya kiuchumi ya taifa.
Kwa mujibu wa takwimu rasmi za mwaka 2025 kutoka kwa kitengo cha takwimu za taifa, wanawake wanaunda takriban 53.7% ya idadi yote ya watu nchini Latvia. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, kuna 116 wanawake kwa kila 100 wanaume katika nchi hiyo.
Wanawake wengi kuliko wanaume pia huathiri tamaduni za uhusiano, utulivu wa ajira, na mipango ya muda mrefu ya kiuchumi. Serikali sasa inakabiliana na changamoto ya kupungua kwa nguvu kazi na pengo la kijinsia ambalo linaonekana halitarekebishwa kwa muda mfupi.